Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
makala maalum Witu
Mstari 27:
|-
|style="font-size: 1.0em;" bgcolor="#F7F5D3" |
<h3 style="font-size:150%"><em style="color:orange;font-style:normal">&#8226;</em>'''Makala maalum:''' <br><center>'''[[Sanamu ya UhuruWitu]]'''</center></h3>'''Witu''' ni mji mdogo na tarafa katika [[Mkoa wa Pwani, Kenya|Mkoa wa Pwani]], [[wilaya ya Lamu]] nchini [[Kenya]]. Iko barabarani kutoka [[Malindi]] kwenda [[Lamu]], takriban katikati ya [[mto Tana]] na Lamu. Witu ni pia jina la [[usultani]] wa kihistoria iliyojitegemea hapa katika nusu ya pili ya karne ya 19.
[[picha:Statue of Liberty, NY.jpg|180px|right|thumb|Sanamu ya Uhuru mjini New York]]
'''Sanamu ya Uhuru''' ([[Kiing.]]:'''Statue of Liberty''') ni sanamu kubwa inayosimama katika [[bandari]] ya [[jiji]] la [[New York]]. Ilifika [[Marekani]] mwaka 1885 kutoka Ulaya kama zawadi ya watu wa [[Ufaransa]] kwa watu wa Marekani ikasimamishwa na kuzimikwa rasmi 1886..
 
[[Image:Witu1890.png|thumb|250px|<sup>Witu kama eneo la pekee kwenye ramani ya Kiingereza mnamo mwaka 1900</sup>]]
Sanamu lina kimo cha mita 46.5 na pamoja na msingi wake linafikia mita 93. Inasimama kwenye kisiwa kidogo kilichopo mdomoni mwa bandari.
==Historia==
Historia ya Witu ilianza mwaka 1858 [[BK]]. Sultani wa [[Pate]] Ahmad ibn Fumo Bakari aliyezaliwa katika familia ya watawala wa Nabahani alijenga makao mapya barani kwa sababu alitaka kujiokoa na [[Usultani wa Zanzibar]] uliotafuta utawala juu ya funguvisiwa ya [[Lamu]] wakati ule.
 
*[[Sanamu ya Uhuru|Soma zaidi kuhusu '''Sanamu ya UhuruWitu'''...]]
Imetengenezwa kwa kutumia mabati ya [[shaba]] yanayolala juu ya kiunzi cha [[feleji]] ndani yake. Kwa jumla uzito wake ni tani 225. Rangi imekuwa kibichi kwa sababu shaba imeoksidishwa kwa nje.
 
Umbo la sanamu ni mwanamke anayeshika tochi juu ya kichwa chake. Mwanamke ni ishara ya uhuru na mchongaji alitaka kuweka kumbukumbu ya kufutwa kwa utumwa katika Marekani mwaka 1861. Umbo linaiga mifano ya sanaa ya [[Ugiriki ya Kale]] na [[Roma ya Kale]]; mungu wa Kigiriki Helios alionyeshwa kwa mavazi yaleyale na pia na taji kama sanamu ya uhuru; kwa Helios ncha za taji zilikuwa ishara ya mishale ya jua; kwenye sanamu ya uhuru mishale saba inadokeza kwa bahari saba na mabara saba na ujumbe wa uhuru kwa wote.
 
*[[Sanamu ya Uhuru|Soma zaidi kuhusu '''Sanamu ya Uhuru'''...]]
 
<h3 style="font-size:100%"><em style="color:orange;font-style:normal">&#8226;</em>'''Ujenzi'''</h3>