Barafuto : Tofauti kati ya masahihisho
d
roboti Nyongeza: gan:冰川; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: mr:हिमनदी) |
Xqbot (majadiliano | michango) d (roboti Nyongeza: gan:冰川; cosmetic changes) |
||
[[
'''Barafuto''' huitwa pia "mto wa [[barafu]]". Ni kanda kubwa la barafu iliyoanza kutambaa kutokana na uzito wake ikifuata [[uvutano]] kwenye mtelemko. Kwa sababu hiyo barafuto zinapatikana hasa mlimani.
== Asili ya barafu ya barafuto ==
[[
Barafuto zimetokana na [[theluji]] inayokaa miaka mingi bila kuyeyuka katika mazingira baridi. Theluji mpya inakaa juu ya theluji ya miaka iliyotangulia. Uzito wa theluji ya baadaye inakandamiza ile ya chini. Kutokana na [[shindikizo]] hili theluji ya chini hubadilika kuwa barafu kabisa.
[[
Barafuto ni kati ya nguvu kubwa za [[Mmomonyoko#Mmomonyoko wa barafu|mmomonyoko]] duniani.
{{mbegu}}
[[Category:Jiografia]]▼
{{Link FA|tr}}
[[af:Gletser]]
[[fi:Jäätikkö]]
[[fr:Glacier]]
[[gan:冰川]]
[[he:קרחון יבשתי]]
[[hi:हिमनद]]
|