Hugo Weaving : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: cy:Hugo Weaving
d roboti Nyongeza: th:ฮิวโก วีฟวิง; cosmetic changes
Mstari 5:
| maelezo_ya_picha = Hugo Weaving
| jina la kuzaliwa = Hugo Wallace Weaving
| alizaliwa = [[4 Aprili]], [[1960]]<br /> [[Nigeria]]
| kafariki =
| jina lingine =
Mstari 12:
| ndoa =
| rafiki =
| watoto = Holly (kaz. 1993)<br />Harry (kaz. 1989)
| wazazi =
| mahusiano = Katrina Greenwood
Mstari 18:
}}
'''Hugo Wallace Weaving''' (amezaliwa tar. [[4 Aprili]], [[1960]], [[Nigeria]]) ni mwigizaji filamu wa [[Uingereza|Kiingereza]], vilevile mwigizaji wa sauti yaani kama kuigiza sauti ya katuni au sauti za kirobot. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Agent Smith kutoka katika mfululozo wa filamu za [[The Matrix|Matrix]].
== Wasifu ==
 
=== Maisha ya awali ===
Weaving alizaliwa nchini [[Nigeria]] na wazazi wa [[Uingereza|Kiingereza]] Anne, aliyekuwa mwongozaji wa watalii, na Wallace Weaving, mwanaseismolojia ([[Tsunami|mstadi wa maafa asilia ya dunia]]). Hugo utoto wake wote aliutumia akiwa nchini [[Afrika Kusini]] na baadae familia ikarudi [[Uingereza]], wakati Hugo bado yungali bwana mdogo. Akiwa [[Uingereza]] akapelekwa shule ya bweni na ilipofika mwaka [[1976]] akaelekea [[Sydney]] nchini [[Australia]], akiwa huko akajiunga na shule moja hivi iliokuwa inafundisha maswala ya lugha. Shule ilikuwa naongozwa na muunganiko wa baadhi ya makanisa. Baada ya hapo akajiunga tena na taasisi ya sanaa na maigizo (National Institute of Dramatic Art) ya nchini [[Australia]] na kumaliza mnamo mwaka wa [[1981]].
 
== Filamu alizoigiza ==
*''Maybe This Time'' (1980), kama Mwanafunzi wa 2
*''The City's Edge'' (1983), kama Andy White
Mstari 74:
*''Transformers '' (2007), Megatron (Sauti)
 
== Marejeo ==
# http://www.filmreference.com/film/9/Hugo-Weaving.html
# http://www.smh.com.au/articles/2003/04/18/.html
 
== Viungo vya nje ==
{{commons}}
{{wikiquote}}
Mstari 86:
 
{{DEFAULTSORT:Weaving, Hugo}}
 
[[CategoryJamii:Waigizaji Filamu wa Uingereza]]
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1960]]
[[CategoryJamii:Watu Walio Hai]]
 
[[ar:هوغو ويفنغ]]
Line 112 ⟶ 113:
[[sr:Хјуго Вивинг]]
[[sv:Hugo Weaving]]
[[th:ฮิวโก วีฟวิง]]
[[tr:Hugo Weaving]]
[[zh:曉高·韋榮]]