Ulaya ya Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: wa:Urope coûtchantrece
d roboti Nyongeza: os:Ныгуылæн Европæ; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:CIA Western-Europe-map2.png|thumb|250px|right|Ulaya ya Magharibi kijiografia kufuatana na CIA-Factbook (njano); njano nyeupe: Ulaya ya Kusini-Magharibi]]
'''Ulaya ya Magharibi''' ni sehemu ya magharibi ya bara la [[Ulaya]]. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili. Maelezo hutofautiana kutokana na njia mbalimbali za kuangalia sehemu hiyo: kwa maana ya kijiografia, kihistoria, kisiasa au kiutamaduni.

== Kanda la kijiografia ==
Kama kanda la kijiografia ni mara nyingi nchi zifuatazo zinazohesabiwa kuwa Ulaya ya Magharibi:
* [[Isle of Man]]
Mstari 13:
* [[Ufalme wa Muungano]] (Uingereza)

[[ImagePicha:Location-Europe-UNsubregions,_Kosovo_as_part_of_Serbia.png|thumb|250px|right|Ulaya ya Magharibi kufuatana na mpangilio wa Umoja wa Mataifa (buluu nyeupe);
Buluu nyeusi: Ulaya ya Kaskazini
Kijani: Ulaya ya Kusini
Nyekundu: Ulaya ya Mashariki]]

== Mpangilio wa Umoja wa Mataifa ==
[[Umoja wa Mataifa]] umepanga kanda hili tofauti hasa kwa kuhesabu Ufalme wa Muungano upande wa [[Ulaya ya Kaskazini]] lakini kuingiza Ujerumani, Austria na Uswisi ambazo zinahesabiwa mara nyingi kama sehemu ya Ulaya ya Kati; ila tu mpangilio wa UM hauna Ulaya ya Kati.
* [[Austria]]
* [[Liechtenstein]]
Mstari 27:
* [[Uswisi]]

[[ImagePicha:Iron Curtain Final.svg|thumb|250px|right|Ulaya ya Magharibi kisiasa wakati wa Vita Baridi
Buluu: Ulaya ya Magharibi (NATO)
Kijivu: Nchi zisizofungamana na upande wowote
Nyekundu: Ulaya ya Mashariki (upande wa Umoja wa Kisovyeti)]]
== Ulaya ya Magharibi kihistoria katika karne ya 20 ==
Wakati wa "[[vita baridi]]" Ulaya ya Magharibi ilimaanisha mara nyingi nchi zote za Ulaya zilizofungamana na upande wa magharibi yaani [[Marekani]] na [[NATO]] dhidi nchi za kikomunisti zilizoshikamana na [[Umoja wa Kisovyeti]].

[[CategoryJamii:Ulaya|Magharibi]]

[[an:Europa Ozidental]]
Mstari 78:
[[no:Vest-Europa]]
[[oc:Euròpa Occidentala]]
[[os:Ныгуылæн Европæ]]
[[pl:Europa Zachodnia]]
[[pt:Europa ocidental]]