Waorthodoksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
kiungo
Mstari 5:
Jina hilo lilitungwa ili kutofautisha Wakristo waliofuata mafundisho rasmi ya imani yaliyotolewa na [[Mitaguso ya kiekumene]] dhidi ya [[uzushi]].
 
Kwa namna ya pekee jina hilo lilitumika upande wa mashariki, hivi kwamba lilipotokea [[Farakano la Mashariki]] (hasa mwaka [[1054]]), likabaki kama jina maalumu la ma[[kanisa]] yenye ushirika na [[Patriarki]] wa [[Konstantinopoli]] (leo [[Istanbul]] katika [[Uturuki]]).
 
Hivi karibuni hata makanisa mengine ya mashariki yamechagua kujiita hivyo, ingawa yanaendelea kukataa mitaguso mikuu iliyokubaliwa na Wakristo walio wengi.