Tofauti kati ya marekesbisho "George Santayana"

60 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
d (roboti Nyongeza: ko:조지 산타야나)
No edit summary
[[Image:George Santayana.jpg|right|thumb|George Santayana]]
'''George Santayana''' ([[16 Desemba]], [[1863]] – [[26 Septemba]], [[1952]]) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi. Akiwa raia wa [[Hispania]] alilelewa na kusoma [[Marekani]], kwa hiyo aliandika kwa lugha ya [[Kiingereza]] tu na kuangaliwa kama mwandishi Mmarekani. Anajulikana hasa kwa usemi wake "Wasiojifunza kutoka historia watairudia" (kwa Kiingereza: "Those who cannot learn from history are doomed to repeat it").