Amerika ya Kilatini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gan:拉丁美洲; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Map-Latin America2.png|thumb|right|260px|Nchi za '''Amerika ya Kilatini''' zinazotumia lugha za Kihispania, Kireno na Kifaransa. Belize imo kwa sababu ya wasemaji wengi wa Kihispania.]]
'''Amerika ya Kilatini''' ni jina la kutaja sehemu kubwa ya [[Amerika]].
 
== Asili ya jina ==
Amerika ya Kilatini humaanisha kwa kawaida nchi za Amerika ambako lugha za [[Kihispania]] na [[Kireno]] pamoja na [[Kifaransa]] hutumiwa kama lugha rasmi au lugha ya watu wengi. Lugha hizi zote zimetokana na [[Kilatini]] na hujumlishwa kama "[[Lugha za Kirumi]]".
 
== Nchi za Amerika ya Kilatini ==
Kuna tofauti kuhusu ya namna ya kutaja nchi za Amerika ya Kilatini. Mara nyingi [[Amerika ya Kusini]], [[Amerika ya Kati]] na [[Meksiko]] hutajwa hivyo kwa jumla. Lakini kuna nchi ndogo kama [[Guyana]], [[Surinam]] na nchi za visiwani vya [[Karibi]] zinazotumia zaidi [[Kiingereza]] au [[Kiholanzi]] zisizo lugha za Kirumi. Nchi hizi wakati mwingini hujumlishwa pamoja ndani ya Amerika ya Kilatini lakini mara nyingi zinatazamiwa kuwa pekee kiutamaduni.
 
Kiutamaduni hata sehemu ya [[Marekani]] ya Kusini yenye wasemaji wengi wa Kihispania ni karibu sana na Amerika ya Kilatini. Majimbo haya ya Marekani kama [[Texas]] na [[Kalifornia]] yalikuwa sehemu za [[Meksiko]] hadi [[karne ya 19]].
 
== Historia na utamaduni ==
Kipaumbele cha lugha za Kirumi kimetokana na historia. Baada ya [[Kristoforo Kolumbus]] nchi hizi zilikuwa koloni ama za [[Hispania]] au za [[Ureno]] hadi [[karne ya 19]]. Wakazi wengi ni watoto wa wahamiaji kutoka Ulaya au chotara kati ya wahamiaji wale na wakazi asilia.
 
Katika nchi kadhaa hasa Meksiko na [[Andes|nchi za Andes]] ambako wakazi [[Waindio]] wengi kidogo walibaki wanaoendelea kutumia lugha zao pamoja na Kihispania.
Mstari 17:
Dini kubwa katika Amerika ya Kilatini ni [[Kanisa Katoliki]] lililokuwa kanisa rasmi ya Hispania na Ureno.
 
[[CategoryJamii:Amerika]]
 
[[af:Latyns-Amerika]]
Mstari 53:
[[fy:Latynsk-Amearika]]
[[ga:Meiriceá Laidineach]]
[[gan:拉丁美洲]]
[[gd:Aimearaga-Laideannach]]
[[gl:América Latina]]