Muddyb

Joined 18 Agosti 2007
Nimezaliwa na kukulia [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Baba yangu ni mtu wa [[Tanga]] (kabila lake [[Wazigua|Mzigua]]), na mama yangu mtu wa Kilwa, Lindi (Myao). Nimesoma na kumalizia elimu yangu yote [[Dar es Salaam]] kwa wajanja [[Tanzania]].
 
Vilevile mimi ni mmoja wa wapenzi wa muziki na filamu duniani hakuna, ukibisha yauri yako lakini mie ndiondiyo nasonga mbele. Kwa sasa niko nafanya makamuzi yangu katika kampuni fulani hivi ya Bakhresahapa FoodMjini ProductsDar Limitedes Salaam, na vilevile ninasaidi hapa katika wikiWikipedia hii ya Kiswahili.
 
Pia, napenda kuwakaribisha mavijana wenzangu, mababu na mabibi wakiwemo na watoto wenye ufahamu wa kutumia zana za kisasa yaani Kompyuta, tushirikiane kuendeleza kamusi ya Waswahili!
 
==Maisha ya Kidunia==
Makuzi yangu yote yalikuwa jijini Dar es Salaam Tanzania, na sijawahi kwenda mkoa wowote ule wa nchini kwetu. Ila najivunia kwa kuzaliwa katika jiji lenye kila kitu, bahari, majumba ya sanaa, starehe mbalimbali, wanamuziki wenye akili kibawa wapo huku, serikali halisi ipo huku, watoto wazuri (wachumba) na mambo mengine mengi tu yapo huku.