Tambi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:نودل
d roboti Nyongeza: ca:Fideus; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Noodle drying rack.jpg|thumb|right|Rafu ya kukausha tambi mjini [[Seoul]] ([[Korea Kusini]])]]
[[ImagePicha:Spaghetti-prepared.jpg|thumb|right|Spaghetti kwenye sahani na supu ya nyanya na jibini juu yake]]
[[ImagePicha:Wonton noodle soup boston.jpg|thumb|right|Supu ya tambi ya Kichina pamoja na nyama ya kuku]]
 
'''Tambi''' ni [[chakula]] kinachotengenezwa kutoka kwa [[kinyunga]] cha [[unga]] na [[maji]] kuwa kama milia membamba inayopikwa katika maji au supu. Ni chakula muhimu katika nchi nyingi hasa [[Italia]], [[China]], [[Japani]] na [[Korea]]. Siku hizi zimeenea kote duniani. Aina zinazoliwa sana kimataifa ni [[pasta]] zenye asili ya [[Italia]] hasa [[spaghetti]].
 
== Tambi bichi na tambi kavu ==
Tambi zinaweza kutengenezwa jikoni na kupikwa zikiwa bichi. Lakini kwa kawaida huandaliwa kiwandani na kuuzwa ilhali zimekauka. Tambi kavu haziozi zinaweza kutunzwa kwa muda mrefu na zinapikwa haraka kwa muda wa [[dakika]] 8-15. Wachina waligundua njia za kutengeneza tambi zinazopikwa katika muda wa dakika 3 pekee.
 
== Tambi za nafaka na tambi za wanga nyingine ==
Aina nyingi za tambi hutengenezwa kwa kutumia unga wa [[nafaka]] kama vile [[ngano]] au [[mchele]]. Kuna pia aina zinazotumia [[wanga]] ya [[maharagwe]], [[soya]] au [[viazi]].
 
Tambi za kale kabisa zinazojulikana zimekutwa na wana[[akiolojia]] nchini China kando la Mto Njano. Zina umri wa miaka 4,000 na zilitengenezwa kwa unga ya [[mtama]].
 
== Aina za tambi ==
Kuna aina nyingi sana za tambi zinazotofautiana kwa umbo, rangi na ladha. Tabia hizi zinategemea na aina ya unga ambayo ni msingi wa tambi lakini pia na nyongeza kama vile mayai, mafuta, jibini na mengine ndani yake.
 
Mstari 32:
 
{{stub}}
 
[[Category:Chakula| ]]
[[categoryJamii:tambiChakula| ]]
[[Jamii:Tambi]]
 
[[ar:نودل]]
[[ca:Fideus]]
[[cs:Nudle]]
[[da:Nudler]]