Tofauti kati ya marekesbisho "John Fisher"

125 bytes removed ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
[[Image:John_Fisher_by_Hans_Holbein_the_Younger.jpg|thumb|right|Mtakatifu Askofu John Fisher alivyochorwa na [[Hans Holbein Mdogo]].]]
 
'''John Fisher''' ([[1469]] – [[22 Juni]], [[1535]]) alikuwa padre Mkatoliki kule [[Uingereza]]. Pia aliitwa ''John wa Rochester''. Alimkataa mfalme [[Henry VIII]] aliyejitenga na Kanisa la kikatoliki. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa ndani na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Mwaka wa 1935 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni [[9 Julai]].
[[Category:Watakatifu Wakristo|F]]
[[Category:Maaskofu Wakatoliki wa Uingereza|F]]
 
{{mbegu}}
62,394

edits