Mikael Agricola : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
dNo edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Mikael_Agricola_bust.jpg|thumb|right|
'''Mikael Agricola''' (takriban 1509 – [[9 Aprili]], [[1557]]) alikuwa mwanateolojia katika nchi ya [[Ufini]]. Alikuwa mwanafunzi wa [[Martin Luther]] na [[Philipp Melanchthon]] na baadaye alileta mabadiliko ya kanisa kule Finland. Pia alianzisha fasihi katika lugha ya Kifini na kutafsiri [[Agano Jipya]].
|