Guanajuato (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Mexico stateflags Guanajuato.png|thumb|Bendera ya Guanajuato]]
[[image:Mexico map, MX-GUA.svg|thumb|Mahali pa Guanajuato katika [[Mexiko]]]]
'''Guanajuato''' ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexico]] upande wa kati ya nchi. Mji mkuu ni [[Guanajuato (mji)|Guanajuato]] na mji mkubwa ni [[León, Guanajuato|León]]. Jimbo lina wakazi wapatao 4,893,812 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 30,491.
 
Imepakana na [[San Luis Potosí (jimbo)|San Luis Potosí]], [[Querétaro (jimbo)|Querétaro]], [[Michoacán]] na [[Jalisco]].