Morelos : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created page with 'thumb|Bendera ya Morelos thumb|Mahali pa Morelos katika [[Mexiko]] '''Morelos''' ni moja kati ya majimbo …' |
dNo edit summary |
||
Mstari 3:
'''Morelos''' ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]] upande wa kati ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Cuernavaca, Morelos|Cuernavaca]]. Morelos ni jimbo dogo wa pili la Mexiko.
Imepakana na [[Mexiko (jimbo)|Mexico (jimbo]], [[Mexiko (mji)|Mexiko (mji)]], [[Puebla (jimbo)|Pueblo]] na [[Guerrero (jimbo)|Guerrero]]. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 3,115,202. Una eneo la 64,281 [[Kilomita ya mraba|km²]].
Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya kiongozi wa uhuru wa Mexiko [[José María Morelos]].
|