Tofauti kati ya marekesbisho "Lugha ya kuundwa"

128 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
d (roboti Badiliko: ca:Llengua construïda)
No edit summary
'''Lugha ya kuundwa''' (au '''lugha unde''') ni [[lugha]] ambayo msamiati na serufi[[sarufi]] zake zimetungwa na watu badala ya kukua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani. Kwa kawaida zinaundwa kwa ajili ya kuwasiliana kati ya watu sawasawa na [[lugha asilia]]. Nyingi zinatengenezwa ili kuwa [[lugha saidizi ya kimataifa|lugha saidizi za kimataifa]], lakini nyingine zinaundwa kwa ajili ya usiri au majaribio ya isimu au bila sababu fulani.
 
Lugha ya kuundwa inayozungumzwa zaidi ni [[Kiesperanto]].
[[Mwaka wa Lugha wa Kimataifa negat]].
 
Mara chache '''lugha ya kuundwa''' maana yake ni lugha za [[kompyuta]] au za kuandaa programu (angalia [[lugha asilia]]). Kwa sababu ya utata huo watu wengi, hasa [[Kiesperanto|Waesperanto]], hawapendi kutumia neno ''lugha ya kuundwa'', na badala yake wanasema ''[[lugha ya kupangwa]]''. Lakini msemo ''lugha ya kupangwa'' unatumika kwa lugha zile tu ambazo ziliungwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu.
 
==Marejeo==
* [http://jeanne-la-pucelle.ifrance.com/index.php? Hahn aren sathyrrah]
*[[TUKI]] 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]
*Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
 
[[CategoryJamii:Lugha]]
[[Jamii:Isimu]]
 
{{mbegu}}
{{Link FA|nl}}
 
62,394

edits