Tofauti kati ya marekesbisho "Edward Albee"

80 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
d
[[Image:Edward_Albee.jpg|thumb|right|Edward Albee, mwaka wa 1961]]
 
'''Edward Franklin Albee''' (amezaliwa [[12 Machi]], [[1928]]) ni mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa [[tamthiliya]] yake “Nani Anaogopa Virginia Woolf?” (kwa Kiingereza: ''Who’s Afraid of Virginia Woolf?'') iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' miaka ya 1967, 1976 na 1992.
 
[[Category:Waandishi wa Marekani|A]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer|A]]