John Mott : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created page with 'left|80px '''John Raleigh Mott''' (25 Mei, 1865 – 31 Januari, 1955) alikuwa kiongozi wa YMCA na mashirikia mengine ya [[Ukrist…' |
dNo edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''John Raleigh Mott''' ([[25 Mei]], [[1865]] – [[31 Januari]], [[1955]]) alikuwa kiongozi wa [[YMCA]] na mashirikia mengine ya [[Ukristo|kikristo]] kutoka nchi ya [[Marekani]]. Kuanzia mwaka wa 1895 hadi 1920 alikuwa katibu mkuu wa [[Chama cha Wanafunzi Wakristo Duniani]]. Mwaka wa 1910, aliongoza [[Mkutano wa Misheni Duniani]] mjini [[Edinburgh]]. Mwaka wa [[1946]], pamoja na [[Emily Balch]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel
{{DEFAULTSORT:Mott, John}}
|