Mkutano wa Vienna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:مؤتمر فيينا
d roboti Nyongeza: scn:Cungressu di Vienna; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:CongressVienna.jpg|thumb|350px|''Mkutano wa Vienna'' (Uchoraji na [[Jean-Baptiste Isabey]], [[1819]].]]
 
 
'''Mkutano wa Vienna''' ulikuwa mkutano wa kimataifa wa nchi za [[Ulaya]] uliofanyika mjini [[Vienna]] ([[Austria]]) kati ya 18 Septemba [[1814]] hadi 9 Juni [[1815]]. Maazimio ya mkutano huu yalichora mipaka ya Ulaya kwa miaka mingi ya mbele.
 
== Shabaha ya mkutano wa Vienna ==
Shabaha kuu ya mkutano ilikuwa kujenga utaratibu mpya katika Ulaya baada ya vita za [[Napoleon]]i. Katika miaka iliyotangulia mtawala huyu wa [[Ufaransa]] aliwahi kuvuruga nchi zote za Ulaya bara; alifuta madola makubwa na madogo na kuunda nchi mpya. Mabadiliko haya yalitazamiwa kuwa si halali na baada ya mwisho wa Napoleoni viongozi wa mataifa waliona haja ya kurudisha utaratibu wa kale pale ulipowezekana au kuunda utaratibu mpya uliolingana na haki.
 
Pamoja na kuchora upya mipaka ya Ulaya mkutano uliangalia pia mambo yafuatayo:
Mstari 12:
* mapatano kuhusu uhuru wa usafiri kwenye mito inayopita maeneo ya nchi mbalimbali kama vile [[Rhine]].
== Mahudhurio na mataifa makuu ==
Waliohudhuria walikuwa wawakilishi wa madola, nchi, mataifa, miji ya kujitawala jumla 200 za Ulaya. (Wakati ule nchi kama [[Ujerumani]] au [[Italia]] zilikuwa na madola mengi ya kujitegemea kabisa ndani zao).
 
Mstari 24:
* [[Robert Stewart (Viscount Castelereagh)]] kama waziri wa mambo ya nje na mwakilishi wa Uingereza
* [[Charles Maurice de Talleyrand-Périgord]] kama waziri wa mambo ya nje na mwakilishi wa Ufaransa.
[[ImagePicha:Ulayam 1814.png|thumb|350px|Mipaka ya Ulaya baada ya Mkutano wa Vienna]]
== Agenda ==
Mkutano ulishughulika agenda zake katika kamati mbalimbali kama vile mambo ya Ulaya, mambo ya Ujerumani, swali la ugawaji wa maeneo ya madola yasiyorudishwa, swali la uhuru wa usafiri kwenye mito ya kimataifa na swali la biashara ya utumwa.
 
Mstari 34:
* [[Poland]] iligawiwa upya kati ya Urusi, Austria na Prussia.
* [[Uholanzi]] ilirudishwa ikapewa maeneo ya jirani yaliyokuwa zamani chini ya Austria na kuitwa "Ufalme wa Maungano ya Uholanzi".
* [[Dola la Papa]] lilirudishwa katika Italia ya Kati.
* Austria iliongezewa maeneo katika Italia ya Kaskazini.
 
== Azimio kuhusu Biashara ya watumwa ==
Uingereza ilishawishi madola makubwa ya kutamka azimio la kupinga [[biashara ya watumwa]]. Azimio hili halikugusa swali la [[utumwa]] lenyewe. Azimio la Vienna lilikuwa muhimu kwa mapatano yaliyofuata kati ya Uingereza na nchi mbalimbali ya kuharamisha biashara ya watumwa, kwa mfano na Ufaransa, Hispania na Ureno.
 
Hali halisi biashara iliendelea kwa muda mrefu kwa sababu serikali za Hispania na Ureno ziliendelea kuvumilia biashara hii hasa kati ya Afrika na kolonia zao zilizoendelea kutumia kazi ya watumwa katika uchumi wa mashamba ya miwa na mazao mengine. Lakini azimio la Vienna ilikuwa hatua muhimu katika harakati ya kukomesha biashara ya watumwa na mshishowe utumwa mwenyewe kwa upande wa mataifa ya Ulaya.
 
[[CategoryJamii:Historia ya Ujerumani]]
[[CategoryJamii:Historia ya Ulaya]]
[[CategoryJamii:Mikataba ya amani]]
[[CategoryJamii:1815]]
[[CategoryJamii:Biashara ya watumwa]]
 
[[ar:مؤتمر فيينا]]
Mstari 86:
[[ro:Congresul de la Viena]]
[[ru:Венский конгресс]]
[[scn:Cungressu di Vienna]]
[[simple:Congress of Vienna]]
[[sk:Viedenský kongres]]