Shijiazhuang : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Shijiazhuang, Hebei
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:55, 12 Juni 2009


Shijiazhuang (石家庄) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Hebei. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 9.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 83 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Jiji la Shijiazhuang
Nchi China
Jimbo Hebei
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,313,000
Tovuti:  www.sjz.gov.cn/