Meizhou : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Settlement |jina_rasmi = Jiji la Meizhou |picha_ya_satelite = Meichenyijiao.jpg |settlement_type = Jiji |subdivision_type = [[Mado…'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:00, 13 Juni 2009


Meizhou (梅州市) ni mji wa China katika jimbo la Guangdong. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 5 wanaoishi katika mji huu.

Jiji la Meizhou
Nchi China
Jimbo Guangdong
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 5,009,400
Tovuti:  www.meizhou.gov.cn