Vasili Vereshchagin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Vassili verechagin.gif|right|thumb|150px|Vasili Vereshchagin]]
'''Vasili Vasilyevich Vereshchagin''' ([[Kirusi]]: '''Василий Василиевич Верещагин'''; [[26 Oktoba]], [[1842]] - [[13 Aprili]], [[1904]]) alikuwa mchoraji kutoka [[Urusi]] aliyefahamika sana kutokana picha zake za [[vita]] na mapigano.
 
Alikuwa mtoto wa mkulima aliyepata elimu kwenye shule ya kijeshi akandelea kuwa afisa wa jeshi la Urusi. Aliondoka jeshini akawa mwanafunzi wa uchoraji huko [[Sankt Peterburg]] akamaliza masomo yake kwenye Chuo cha Sanaa mjini [[Paris]].
Mstari 8:
Sehemu ya picha zake zilifichwa baadaye na serikali ya Kirusi.
 
Alifariki wakati wa [[vita ya Japani dhidi ya Urusi ya 1904-1905]] aliposafiri kwa manowari ya Kirusi iliyozamishwa na Wajapani. Picha yake ya mwisho aliyochora kwenye manowari iliokolewa katzikakutoka katika maji.
 
 
Mstari 28:
* [http://www.fegi.ru/PRIMORYE/flot/vereshag.jpg Picha ya Vereshchagin]
 
[[Category{{DEFAULTSORT:Wasanii wa Urusi|Vereshchagin, Vasili]]}}
[[Category:Wachoraji|Vereshchagin,Wasanii Vasiliwa Urusi]]
[[Category:Waliozaliwa 1842|Vereshchagin, VasiliWachoraji]]
[[Category:WaliofarikiWaliozaliwa 1904|Vereshchagin, Vasili1842]]
[[Category:Waliofariki 1904]]
 
[[bg:Василий Верешчагин]]