Mein Kampf : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: is:Mein Kampf
d roboti Nyongeza: uk:Моя боротьба; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:FrMeinKampf20050214.jpg|thumb|Toleo la Kifaransa la "Mein Kampf"]]
 
'''Mein Kampf''' ([[Kijerumani]]: Mapambano au mapigano yangu) ni kitabu kilichoandikwa na [[Adolf Hitler]] kabla ya kushika utawala wa [[Ujerumani]]. Alieleza humo mawazo yake juu ya siasa, historia na dunia kwa jumla. Hitler alianzisha kitabu cha kwanza cha Mein Kampf gerezani alipofungwa baada ya jaribio la kupindua serikali mwaka 1923. Alipoondoka aliongeza kitabu cha pili. Tangu 1930 sehemu zote mbili zilichapishwa pamoja kama kitabu kimoja.
Mstari 16:
 
Baada ya mwisho wa utawala wake 1945 kitabu kilipigwa marufuku katika Ujerumani hadi leo. Mtu anaruhusiwa kuwa nacho lakini hakuna ruhsa kukichapisha upya.
 
[[Category:Historia ya Ujerumani]]
[[Category:1925 books]]
 
<!-- interwiki -->
 
{{Link FA|mk}}
 
[[CategoryJamii:Historia ya Ujerumani]]
[[CategoryJamii:1925 books]]
 
[[af:Mein Kampf]]
Line 73 ⟶ 72:
[[th:ไมน์คัมพฟ์]]
[[tr:Mein Kampf]]
[[uk:Моя боротьба]]
[[vi:Mein Kampf]]
[[yi:מיין קאמפף]]