Adamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Adamu''' ni jina analopewa mtu wa kwanza katika Biblia na Kurani.'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:God2-Sistine Chapel.png|300px|thumb|right|[[Uumbaji]] wa Adamu ulivyochorwa na [[Michelangelo Buonarroti]] katika [[Cappella Sistina]] ([[1511]]) ni mojawapo kati ya michoro maarufu zaidi duniani.]]
'''Adamu''' ni jina analopewa mtu wa kwanza katika [[Biblia]] na [[Kurani]].
[[Image:Formella 01, la creazione di Adamo, andrea pisano 1134-1136.JPG|thumb|250px|left|''Uuumbaji wa Adamu'' kadiri ya [[Andrea Pisano]], [[1334]]-[[1336]]]]
 
'''Adamu''' (kwa [[Kiebrania]]: אָדָם maana yake ''mtu'', ''mtu wa udongo'', ''chaudongo'', au ''wa udongo mwekundu'') ni jina analopewa mtu wa kwanza katika [[Biblia]] na [[Kurani]].
 
Kadiri ya [[kitabu]] cha [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]], alizaliana na [[mke]] wake [[Eva]] watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa [[binadamu]]; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe [[Kaini]], [[Abeli]] na [[Set]].
 
[[Kanisa Katoliki]] linamheshimu kama [[mtakatifu]] kila tarehe [[24 Desemba]].
 
==Katika Biblia==
[[Image:Adam with a Lion.jpg|thumb|right|250px|[[Heinrich Aldegrever]], ''Adamu na simba'', wakiishi kwa amani kabla ya [[Dhambi ya Asili]]]]
[[Image:Dettaglio duomo Orvieto2.jpg|250px|thumb|left|Eva akiumbwa kwa ubavu wa Adamu alivyochongwa na ([[Lorenzo Maitani]] na shule yake, upande wa mbele wa [[Kanisa kuu]] la [[Orvieto]]).]]
[[Uumbaji]] wa watu wa kwanza unasimuliwa na Mwanzo mara mbili: katika 1,26-28 na katika 2,7-22.
 
Masimulizi hayo yanayotofautiana katika vipengele mbalimbali hayadai yachukuliwe kama habari za [[historia]] zinazoandikwa siku hizi. Yanatokana na tafakuri ya kina juu ya hali ya [[binadamu]].
 
==Katika Kurani==
Humo Adamu anatajwa kwa namna inayofanana na ile ya Biblia. Anahesabiwa kuwa [[mtume]] wa kwanza.
 
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Category:Watu wa Kurani]]
 
[[ar:آدم]]
[[az:Adəm peyğəmbər]]
[[bg:Адам]]
[[bs:Adem]]
[[ca:Adam]]
[[da:Adam (bibelsk person)]]
[[el:Αδάμ]]
[[en:Adam]]
[[es:Adán]]
[[et:Aadam]]
[[fa:آدم]]
[[fi:Aadam]]
[[fo:Ádam]]
[[fr:Adam]]
[[hr:Adam]]
[[id:Adam]]
[[it:Adamo]]
[[ja:アダム]]
[[ku:Adem]]
[[la:Adam]]
[[ml:ആദാം]]
[[mn:Адам]]
[[nl:Adam]]
[[ru:Адам]]
[[rw:Adamu]]
[[scn:Addamu (primu omu)]]
[[sh:Adam]]
[[sq:Adami]]
[[te:ఆదాము]]
[[th:อาดัม]]
[[tl:Adan]]
[[tr:Âdem]]
[[ty:Adamu]]
[[uk:Адам]]
[[uz:Odam Ato]]
[[wa:Adan]]
[[wo:Aadama]]
[[yi:אדם הראשון]]
[[zh:亞當]]