Liturgia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Liturgia''' (pia: '''liturujia''' na '''liturugia'''; kutoka [[Kigiriki]] '''λειτουργια''' ''leiturgia'' yaani ''huduma kwa umati wa watu'') ni utaratibu wa [[ibada]] hasa katika [[Kanisa]] la [[Ukristo]].
 
Wakati mwingine neno hili latumiwa pia kwa muundo au utaratibu wa [[sala]] katika [[dini]] mbalimbali.