Eva : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:AUTUN Gislebertus Eva1.JPG|thumb|right|280px|Eva akiinama kula tunda, alivyochongwa na [[Gislebertus]] upande wa nje wa [[kanisa kuu]] la [[Autun]], [[Ufaransa]]]]
'''Eva''' ni jina la [[mwanamke]] wa kwanza kadiri ya [[Biblia]] na [[Kurani]]. Maana yake inafikiriwa kuhusiana na uhai: ''mama wa walio hai''.
 
[[Kanisa Katoliki]] linamheshimu kama [[mtakatifu]] tarehe [[24 Desemba]].