Tabasco (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 3:
'''Tabasco''' ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]] upande wa kusini ya nchi. Upande wa kaskazini ni pwani la [[Hori ya Campeche|hori ya Campeche]]. Tabasco ni jimbo innayohesabiwa ama kuwa sehemu ya [[Shingo la nchi la Tehuantepec|shingo la nchi la Tehuantepec]].
 
Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Villahermosa, Tabasco|Villahermosa]] (kwa [[Kihispania]]: ''kitongoji sheshe'').
 
Imepakana na [[Veracruz (jimbo)|Veracruz]], [[Chiapas]], [[Campeche (jimbo)|Campeche]] na nchi ya [[Guatemala]].
 
Jimbo lina wakazi wapatao 1,989,969 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 25,267.