Chiang Kai-shek : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ug:جىياڭ جىشى
mbegu-mtu
Mstari 5:
Alizaliwa [[31 Oktoba]] [[1887]] karibu na [[Shanghai]] akajiunga na chama cha [[Kuomintang]]. Baada ya kifo cha [[Sun Yat-sen]] alichukua uongozi wa Kuomintang na kuungunisha China kijeshi. Tangu 1949 alikaa kisiwani Taiwan alipoongoza serikali ya [[Jamhuri ya China]]. Aliaga dunia [[5 Aprili]] [[1975]] mjini [[Taipei]].
 
{{mbegu-mtu}}
 
[[Jamii:Watu wa Uchina]]