Afyonkarahisar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:HalukOzozluWwwSihirliturComAfyonkarahisarGeneralView.jpg|thumb|right|400px|Mji wa Afyonkarahisar jinsi unavyoonekana kwa picha ya juu.]]
'''Afyonkarahisar''' (kifupi pia: '''Afyon''') ni mji ulipouliopo magharibi mwa nchi ya [[Uturuki]], na ni mji mkuu wa [[MkoaJimbo wala Afyon]]. Afyon ni mji uliopo milimani kutoka nchi kavu kuelekea katika pwani ya [[Aegeant]], takriban [[km]] 250 (155 mi) kutoka kusini-magharibi mwa mji wa [[Ankara]] hadi kuelekea [[Mto Akar]]. Kuna mita 1,034 za maporomoko. Idadi ya wakazi imefikia 128,516 kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2000.
 
Kukiwa na hali ya hewa ya baridi sana, barabara zote huenea barafu.