Guam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: qu:Guam
mbegu-jio-USA
Mstari 58:
Wakazi wa kwanza wanaojulikana ni Wachamoru. Tangu 1668 visiwa vya Mariana vilikuwa kolonia ya [[Hispania]]. Baada ya [[vita ya Marekani dhidi Hispania]] Guam ikatwaliwa na Marekani. Kaskazini ikauzwa kwa Ujerumani na kuwa Mariana ya Kaskazini. Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] kisiwa kikatwaliwa na Japani. 21 Julai 1944 Waamerika walirudi na kuwafukuza Wakapani. 1949 Kisiwa kikapewa hali ya Eneo la ng'ambo la Marekani wakazi wake wakapewa uraia.
 
{{mbegu-jio-USA}}
[[Category:Eneo la ng'ambo la Marekani]]
[[Category:Nchi za Australia na Pasifiki]]