Kitabu cha Yoeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d roboti Nyongeza: hr:Joel (knjiga); cosmetic changes
Mstari 3:
Hivyo ni pia sehemu ya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Muda wa uandishi ==
 
Inawezekana kwamba kitabu hiki kilikuwa cha mwisho kuandikwa kati ya vitabu vya kinabii cha [[Biblia ya Kiebrania]] (ambamo [[Kitabu cha Danieli]], kilichoandikwa baadaye, hakimo katika kundi la [[Manabii]]).
 
== Muhtasari ==
Katika sura mbili za kwanza, uvamizi wa [[nzige]] unaharibu mkoa wote wa [[Yudea]] na kuwafanya wenyeji waendeshe [[liturujia]] ya toba ambayo iliitikiwa na [[Mungu]] kwa ahadi ya kusamehe na kurudisha hali njema.
 
Katika sura mbili zinazofuata unatabiriwa kwa [[mtindo wa kiapokaliptiko]] hukumu ya mataifa na ushindi wa moja wa moja wa Mungu na taifa lake, [[Israeli]].
 
== Mwangwi katika [[Agano Jipya]] ==
[[Mtume Petro]] alitaja utabiri wa Yoeli akieleza karama zilizojitokeza siku ya [[Pentekoste]] ya mwaka 30 [[BK]] kutokana na ujio wa [[Roho Mtakatifu]] (taz. Yoe 3:1-5 na Mdo 2:16-21).
 
[[Mtume Paulo]] alitumia utabiri huohuo kuhusu [[Wayahudi]] na watu wa mataifa mengine pia (taz. Yoe 3:5 na Rom 10:13).
 
== Viungo vya Nje ==
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Joe/ Kitabu cha Yoeli katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
Mstari 25:
 
{{DEFAULTSORT:Yoeli}}
 
[[CategoryJamii:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[CategoryJamii:Watu wa Biblia]]
 
[[ar:سفر يوئيل]]
Line 39 ⟶ 40:
[[gd:Ioel]]
[[he:יואל]]
[[hr:Joel (knjiga)]]
[[hu:Joel]]
[[id:Kitab Yoël]]