Maximinus Thrax : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d mbegu-Kaizari-Roma
Mstari 3:
'''Gaius Iulius Verus Maximinus''' au '''Maximinus Thrax''' (takriban [[173]] – Aprili [[238]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[20 Machi]], [[235]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Alexander Severus]]. Kwa vile hakukaa katika [[mji wa Roma]], kulikuwa na makaizari wengi walioasi dhidi yake, kama [[Gordian I|babu]], [[Gordian II|baba]] na [[Gordian III|mwana]] wa akina '''Gordian''', au [[Balbinus]] na [[Pupienus]].
 
{{mbegu-Kaizari-Roma}}
 
{{DEFAULTSORT:Maximinus Thrax}}