Wellington : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-jio
Mstari 32:
|}
'''Wellington''' ni [[mji mkuu]] wa [[New Zealand]] mwenye wakazi 350,000 (2005). Iko upande wa kusini wa kisiwa cha kaskazini ikitazama milima ya kisiwa cha kusini. Imekuwa mji mkuu tangu 1865 ilipochukua nafasi ya [[Auckland]]. Mji wa Wellington umekuwa maarufu sana kwakuwa filamu ya The Lord of the Rings ilitengenezwa katika mji huo.
{{mbegu-jio}}
 
[[Jamii:Miji ya New Zealand]]