Elimunafsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ext:Sicologia
d roboti Badiliko: mg:Toe-tsaina; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Elimunafsia''' (pia: '''saikolojia''' kutoka [[Kigiriki]] ψυχολογία ''psikhologia'') ni [[fani]] ya [[elimu jamii]] inayolenga kujua nafsi ya [[binadamu]] ili kurahisisha [[ukomavu]] wake na uhusiano wake na wenzake.
 
== Kujifahamu ==
Hakuna mtu wa jana, leo au kesho aliye sawasawa na mwingine: kila mmoja ni wa pekee. [[Mungu]] ametufanya tofauti ili tutimilizane. Kila mmoja anahitaji wengine, na kila mmoja ni muhimu kwa wenzake. Katika maisha ya jamii kuna sehemu ambayo yeye tu anaweza kuijaza. Wazo hilo linaweza kumsaidia kijana ambaye ni mwepesi kukata tamaa na kujitupa. Daima [[uhai]] ni zawadi nzuri kwa mhusika na kwa wenzake wote. Kijana ni zawadi yenye nguvu na wema hata kwa [[taifa, kiasi kwamba kujali ustawi wa kijana ni kujenga taifa.
Mstari 12:
6. ili tuweze kujieleza kwa watu fulanifulani na kupata mashauri ya kutufaa.
 
== Kujikubali ==
Daima ni muhimu tukubali hali ilivyo, halafu tujitahidi kuifanya bora zaidi. Tusipojikubali kwanza tutahangaika tu hata kukata tamaa. Wajue wasijue vijana wapokua wanashindwa kujikubali walivyo. Pengine wanaficha [[silika]] zao wasitambulikane na watu, hata wakashindwa kujielewa, wakapatwa na [[vilema]] vya [[ukuaji]] pia. Ni lazima waache kujifunika uso kwa [[vinyago]] hivyo; badala yake wakabili [[ukweli]] wao, wenye [[sifa]] na [[kasoro]]. Hivyo tu watapitia vizuri [[mabadiliko ya ujana]] upande wa mwili, nafsi, jamii, [[maadili]] na [[roho]]. Hatimaye watakomaa na kushika nafasi yao maishani.
Kwa kila mtu ni muhimu kuwa na marafiki; hasa kijana anahitaji kikundi. Lakini hiyo isiwe njia ya kukwepa nafsi yake mwenyewe wala ya kuficha tabia yake kwa kuzungumza, kutembea au kutenda namna fulani wanavyofanya wenzake. Kwa hiyo asijifananishe nao. Kila mtu anakua kwa namna yake, akibadilika kwa kiasi tofauti na muda tofauti. Ni lazima ajifunze kuyapokea mabadiliko hayo pia yanayomfanya geugeu sana, hasa [[msichana]] katika mzunguko wake wa kila mwezi: mara anaonekana jasiri au korofi, mara amejaa wasiwasi.
== Kujistawisha ==
[[Uhai]] unasukuma kiumbe chochote kistawi. [[Mimea]] inakua namna yake, [[wanyama]] namna yao, na [[binadamu]] polepole zaidi kwa kuwa ndiye kiumbe bora anayehitaji kukomaa pande zake zote. Kulingana na [[haja]] yetu ya kukomaa hivyo, sio tu kufikia [[umri]] au [[kimo]] fulani, ndani mwetu zimo nguvu zinazotuhimiza tujilinde ili tuzidi kuishi wenyewe, tuendeleze uhai tulionao kwa kuzaa, tujitegemee (yaani tumiliki maisha yetu), tutawale vitu na watu ili mambo yaende tunavyotaka, n.k.
Haja iliyoota mizizi mirefu ndani mwetu ni ile ya kujikamilisha tusiwe watu wanaoishi ili mradi tu. Kadiri tunavyokua tunajisikia kuwajibika. Haja hizo zinafanya tujiwekee pia malengo katika [[utendaji]]. Basi, baada ya kujifahamu, kila mmoja wetu achague na kuazimia awe bora vipi, kwa sababu wenyewe tunaamua tuweje. Ni [[wajibu]] wetu kujipenda na kwa hiyo kujitunza na kujistawisha kimwili, kinafsi, kijamii, kimaadili na kiroho. Kazi hiyo inahitaji nia na bidii za kudumu. Tufuate taratibu za kulinda [[afya]] ya [[mwili]], [[heshima]] ya [[mavazi]], [[usafi]] wa [[mazingira]]. Tujiepushe na [[uvivu]] unaosababisha mawazo na matendo mabaya. Tujihadhari na [[maandishi]], [[picha]] na maneno yasiyofaa, yasije yakatupotosha kimawazo au kusisimua [[ashiki]]. Tuhusiane vema na wengine [[(adabu]], [[lugha]] nzuri n.k.). Hasa tufuate [[dhamiri]] na kustawisha [[roho]] iliyo sehemu bora ya [[utu]] wetu ambamo tunashirikiana na [[Mungu]].
Mstari 23:
2. yaliyorithiwa kwa wazazi na [[ukoo]] ([[silika]], [[maelekeo]], [[vipawa]] n.k.);
3. ya kujipatia, yaani tusiyozaliwa nayo, ambayo tunayapata maishani mwetu hasa kutoka kwa watu wanaotuzunguka ([[mazoea]], [[mila]], [[tunu]], [[imani]] n.k.).
Maarubu hayo yanasaidia kukua na kuelekea [[ukomavu]], yaani hali ya kuwa jinsi Muumba alivyokusudia kisha kupitia hatua kadhaa.
 
[[CategoryJamii:Elimu jamii]]
[[CategoryJamii:Saikolojia]]
 
[[af:Sielkunde]]
Mstari 94:
[[lt:Psichologija]]
[[lv:Psiholoģija]]
[[mg:PsychologyToe-tsaina]]
[[mk:Психологија]]
[[ml:മനഃശാസ്ത്രം]]