Theodosius Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ku:Theodosius I
mbegu-Kaizari-Roma
Mstari 3:
'''Flavius Theodosius''' ([[11 Januari]], [[347]] – [[17 Januari]], [[395]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[15 Mei]], [[392]] hadi kifo chake. Kabla hajatawala dola zima, alikuwa Kaizari upande wa Mashariki kuanzia Agosti [[378]]. Upande wa Mashariki alimfuata [[Kaizari Valens|Valens]]. Theodosius alikuwa Kaizari wa mwisho aliyetawala dola zima la Roma. Wana wake wawili walishiriki utawala, [[Kaizari Honorius|Honorius]] upande wa Magharibi, na [[Arcadius]] upande wa Mashariki.
 
{{mbegu-Kaizari-Roma}}
 
{{DEFAULTSORT:Theodosius}}