Chiapas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
lugha
lugha
Mstari 3:
'''Chiapas''' (jina rasmi: ''Estado Libre y Soberano de Chiapas''; [[Kiswahili]]: dola huru la kujitawala la Chiapas) ni moja kati ya majimbo 31 [[Mexiko]]. Ni jimbo kwenye ncha ya kusini ya nchi. Mji mkuu ni [[Tuxtla Gutiérrez, Chiapas|Tuxtla Gutiérrez]] na mji mkubwa ni [[Tapachula, Chiapas|Tapachula]].
 
Imepakana na [[Oaxaca (jimbo)|Oaxaca]], [[Tabasco (jimbo)|Tabasco]], [[Veracruz (jimbo)|Veracruz]] na nchi ya [[Guatemala]]. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 4,293,459. Una eneoEneo la jimbo ni 74,211 [[Kilomita ya mraba|km²]].
 
Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi. Mazao ya soko ni [[kahawa]], [[asali]] na [[miwa]]. Kwa jumla eneo hailikuendelea sana na wakazi ni kati ya watu maskini zaidi wa Meksiko.
Kilimo ni uti wa mgono wa uchumi.
 
Gavana wa jimbo ni [[Juan José Sabines Guerrero]].