Tofauti kati ya marekesbisho "Minsk"

7 bytes removed ,  miaka 12 iliyopita
d
roboti Nyongeza: an:Minsk; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: an:Minsk)
d (roboti Nyongeza: an:Minsk; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Belarus-Minsk-Cathedral of Holy Spirit-3.jpg|thumb|right|Kanisa la Roho Mtakatifu mjini Minsk]]
[[ImagePicha:Victory-square.jpg|right|300px|thumb|Uwanja wa Ushindi katikati ya mji wa Minsk]]
'''Minsk''' au '''Miensk''' (Мінск ([[Kibelarus]]) ni [[mji mkuu]] na mji mkubwa nchini [[Belarus]]. Idadi ya wakazi ni watu milioni 1.8. Mji ulikua kando la mto [[Svislach (mto)|Svislach]].
 
Jina la mji wa Minsk lilitajwa mara ya kwanza mwaka [[1067]]. Mwaka [[1326]] ulikuwa sehemu ya dola la [[Lithuania]] ukapata cheo cha [[mji]] mwaka [[1499]]. Tangu [[1793]] Minsk ilikuwa sehemu ya [[Dola la Urusi]].
 
Baada ya mapinduzi ya kikomunisti Minsk ilikuwa mji mkuu wa [[Jamhuri ya Kisoshalisti ya Kisovyeti ya Belorus]] ndani ya [[Umoja wa Kisovyeti]].
 
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[CategoryJamii:Miji mikuu Ulaya]]
[[CategoryJamii:Belarus]]
 
[[af:Minsk]]
44,113

edits