Mnara wa taa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: io:Faro
d roboti Nyongeza: hi:प्रकाश दीप; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Manora - Tallest Lighthouse of Pakistan P11008351.jpg|left|250px|thumb|Mnara wa taa nchini [[Pakistan]]]]
'''Mnara wa taa''' ni mnara au jengo refu kando ya bahari lenye taa kubwa juu yake. Kusudi lake ni kupatia [[meli]] baharini mwongozo wakati wa usiku. Nuru yake huonyesha njia ya kufika bandarini pia ni onyo ya kwamba pwani iko karibu.
 
Siku hizi minara ina urefu kati ya mita 15 hadi 40. Kama mnara umejengwa mwambanoni juu ya jabali unaweza kuwa mfupi zaidi maadamu nuru yake inaonekana bila matatizo.
[[ImagePicha:Lighthouse_-_Thiersch.gif|thumb|250px|Kichoro cha [[Pharos ya Aleksandria]]]]
== Minara ya taa ya kwanza ==
Minara ya taa ya kwanza ilikuwa na moto juu yake na nuru ya moto ilionekana mbali. Mnara wa kwanza unaojulikana vizuri kihistoria ulikuwa [[Pharos ya Aleksandria]] nchini [[Misri]] uliyojengwa mnamo mwaka 282 KK. Ulisimama hadi mwaka 1303 BK ulipobomolewa na tetemeko la ardhi. Umekadiriwa kuwa na urefu wa mita 115 hadi 160. Wagiriki wa Kale waliuhesabu kati ya [[maajabu ya dunia|maajabu saba ya dunia]].
== Mabadiliko ya teknolojia ==
Maendeleo ya teknolojia yaliona taa za mafuta kuchukua nafasi ya moto halafu taa za gesi kutumiwa badala ya mafuta. Siku hizi taa zote ni za umeme. Taa hizi zinazunguka ndani ya chumba cha juu cha mnara na lenzi zinaongeza ukali wa mwanga.
 
Mstari 13:
 
Zamani kila mnara ulikuwa na mlinzi wake aliyeangalia moto au taa. Siku hizi taa zinafanya kazi peke zao zikisimamiwa na [[tarakilishi]].
 
[[Category:Usafiri wa maji]]
[[Category:Majengo]]
[[Category:minara|taa]]
{{Link FA|nn}}
{{Link FA|no}}
 
[[CategoryJamii:Usafiri wa maji]]
[[CategoryJamii:Majengo]]
[[Jamii:Minara|taa]]
 
[[af:Vuurtoring]]
Mstari 43:
[[gl:Faro]]
[[he:מגדלור]]
[[hi:प्रकाश दीप]]
[[id:Mercusuar]]
[[io:Faro]]