Mkoa wa Ruvuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d roboti Nyongeza: sr:Рувума; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Tanzania_Ruvuma.png|right|175px|Mkoa wa Ruvuma katika Tanzania]]
'''Mkoa wa Ruvuma''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]].
 
Umepewa jina kutokana na [[mto Ruvuma]] ambao ni mpaka wake wa kusini na [[Msumbiji]]. Umepakana na [[Ziwa la Nyasa]] na [[Mkoa wa Morogoro]] upande wa magharibi, mikoa ya [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[Mkoa wa Lindi|Lindi]] upande wa kaskazini na [[Mkoa wa Mtwara]] upande wa Mashariki.
 
=== Wilaya ===
Kuna wilaya tano ambazo ni (idadi ya wakazi katika mabano) [[Songea Mjini]] (131,336), [[Songea Vijijini]] (147,924), [[wilaya ya Tunduru|Tunduru]] (247,976), [[wilaya ya Mbinga|Mbinga]] (404,799), [[wilaya ya Namtumbo|Namtumbo]] (185,131). Makao makuu ya mkoa ndipo Songea. Jumla ya wakazi wote katika Mkoa wa Ruvuma ni 1,117,166 (sensa 2002).
=== Wakazi ===
Makabila makubwa katika Ruvuma ni [[Wayao]], [[Wangoni]], [[Wamatengo]], [[Wandendeule]] na [[Wandengereko]].
 
Mstari 14:
Sehemu ya mashariki ya mkoa kuna barabara ya lami kutoka [[Dar es Salaam]] kupitia [[Makambako]] na [[Njombe]] hadi Songea. Barabara kuu kwenda [[Lindi]] ni katika hali mbaya.
 
== Viungo vya nje ==
* {{en}} Matokeo ya sensa 2002: [http://www.tanzania.go.tz/census/census/ruvuma.htm Ruvuma Region Homepage for the 2002 Tanzania National Census]
* [http://www.tanzania.go.tz/govdirf.html Tanzanian Government Directory Database]
Mstari 21:
{{Mikoa ya Tanzania}}
 
[[CategoryJamii:Mikoa ya Tanzania|R]]
 
[[bg:Рувума (регион)]]
Mstari 32:
[[nl:Ruvuma (regio)]]
[[pt:Ruvuma (região)]]
[[sr:Рувума]]
[[sv:Ruvuma (region)]]
[[tg:Вилояти Рувума]]