Mto Vaal : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: uk:Вааль Badiliko: mk:Вал (река)
d roboti Nyongeza: be-x-old:Вааль; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Mto Vaal''' ni tawimto mrefu wa mto [[Oranje (mto)|Oranje]] katika [[Afrika Kusini]]. Chanzo chake ni katika milima ya [[Drakensberg]] mkoani [[Mpumalanga]] mashariki ya mji wa [[Johannesburg]]. Inaelekea kusini-magharibi hadi kuungana na mto Oranje karibu na mji wa [[Kimberley (Afrika Kusini)|Kimberley]] mkoani [[Northern Cape]]. Urefu wake ni 1120 km.
 
Jina la mto limetoka katika lugha ya [[Kiholanzi]]; walowezi wa kwanza [[Waholanzi]] walitaka kukumbuka mto Waal wa nyumbani kwao.
Mstari 7:
Katika historia ya Afrika Kusini mto Vaal ulikuwa mpaka kati ya koloni ya [[Uingereza]] kusini ya mto na jamhuri za makaburu kaskazini ya mto. Jina la kihistoria ya "[[Transvaal]]" limemaanisha "ng'ambo ya mto Vaal".
 
[[CategoryJamii:Mito ya Afrika Kusini]]
 
[[Category:Mito ya Afrika Kusini]]
 
[[af:Vaalrivier]]
[[be-x-old:Вааль]]
[[ca:Vaal]]
[[cs:Vaal]]