Menelik II. : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-mwanasiasa
mbegu-Kaizari-Uhabeshi
Mstari 1:
[[Image:Menelik-II (stempu).jpg|thumb|Picha ya Menelik II kwenye stempu ya Ethiopia ya mwaka 1894]]'''Menelik II''' ([[17 Agosti]] [[1844]] – [[12 Desemba]] [[1913]]) alikuwa mfalme mkuu wa [[Uhabeshi]] kutoka [[1889]] hadi [[1913]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Sahle Miriam''.

Alikuwa mtemi ([[Ras (cheo)|Ras]]) wa jimbo la [[Shoa]] kati ya [[1865]]-[[1889]]. Akashinda katika mvurugo baada ya kifo cha [[Yohane IV]] kwa msaada wa [[Italia]] akakubaliwa mfalme mkuu wa Ethiopia mwaka 1889.

Alikataa madai ya Italia kutokana na [[mkataba wa Wuchale]]. Mwaka [[1896]] alishinda jeshi la Italia katika [[mapigano ya Adowa]]. Ushindi huu ulihakikisha uhuru wa Ethiopia kama nchi ya pekee katika [[Afrika]] nje ya [[Liberia]].

Menelik aliweka misingi ya maendeleo ya Ethiopia kuwa nchi ya kisasa lakini hakubadilisha muundo wa utawala wa kimakabaila.

{{mbegu-mwanasiasaKaizari-Uhabeshi}}

{{DEFAULTSORT:Menelik II}}