Yohannes III : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
mbegu-Kaizari-Uhabeshi
Mstari 1:
'''Yohannes III''' (amezaliwa takriban [[1797]]) alikuwa mfalme wa [[Ethiopia]]. Kati ya [[1840]] na [[1851]], Yohannes III na binamu yake, [[Sahle Dengel]], waliondoshana madarakani na kurudishiwa utawala mara kwa mara. Aliyemaliza fitina hiyo na kuwafuata ni [[Tewodros II]]. Yohannes III alikuwa mwana wa mwisho wa [[nasaba ya Solomoni]]. Haijulikani kama amefariki mwaka wa 1851, Tewodros II alipoanza utawala, au akiendelea kuishi hadi miaka ya 1870.
 
{{mbegu-mwanasiasaKaizari-Uhabeshi}}
 
{{DEFAULTSORT:Yohannes III}}