Go-Yozei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-Kaizari-Japani
Mstari 1:
'''Go-Yozei''' ([[31 Desemba]], [[1572]] – [[25 Septemba]], [[1617]]) alikuwa mfalme mkuu wa 107 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Kazuhito''. Tarehe [[17 Desemba]], [[1586]] alimfuata babu yake, [[Ogimachi]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[9 Mei]], [[1611]]. Aliyemfuata ni mwana wake, [[Go-Mizunoo]].
 
{{mbegu-Kaizari-Japani}}
 
{{DEFAULTSORT:Go-Yozei}}