Tofauti kati ya marekesbisho "Bakaffa"

17 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
mbegu-Kaizari-Uhabeshi
(mbegu-Kaizari-Uhabeshi)
'''Bakaffa''' (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa [[Uhabeshi]] kuanzia [[18 Mei]], [[1721]] hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, [[Dawit III]]. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza ''Asma Sagad'', halafu ''Masih Sagad''. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni [[Iyasu II]].
{{mbegu-Kaizari-Uhabeshi}}
 
{{DEFAULTSORT:Bakaffa}}