Susenyos : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-Kaizari-Uhabeshi
Mstari 1:
'''Susenyos''' (takriban 1572 – [[7 Septemba]], [[1632]]) alikuwa mfalme mkuu wa [[Uhabeshi]] kuanzia 1606 hadi muda mfupi kabla ya kifo chake alipojiuzulu. Alimfuata [[Za Dengel]]. Jina lake la kutawala lilikuwa ''Malak Sagad III''. Susenyos alivutwa sana na imani ya kikatoliki. Aliwaalika wamisionari na hata kutangaza kuwa Mkatoliki yeye mwenyewe kuanzia mwaka wa 1622. Hata hivyo malodi wengi hawakukubali na utawala ulisumbuliwa na vita na uasi. Mwishoni Susenyos alijiuzulu na kufuatwa na mwana wake, [[Fasilides]] aliyerudisha imani ya kiorthodox.
 
{{mbegu-Kaizari-Uhabeshi}}
 
{{DEFAULTSORT:Susenyos}}