Sakuramachi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-Kaizari-Japani
Mstari 1:
'''Sakuramachi''' ([[8 Februari]], [[1720]] – [[28 Mei]], [[1750]]) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Teruhito''. Tarehe [[13 Aprili]], [[1735]] alimfuata baba yake, [[Nakamikado]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[9 Juni]], [[1747]]. Aliyemfuata ni mwana wake, [[Momozono]].
 
{{mbegu-Kaizari-Japani}}
 
{{DEFAULTSORT:Sakuramachi}}