Hori ya Chesapeake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Jamii:Hori ya Chesapeake Jamii:Virginia (jimbo)
d Annapolis, Maryland
Mstari 5:
Eneo lake ni 12,000 km² na inapokea maji ya beseni za mito inyoishia humo zenye jumla ya 165,800 km². Kijiolojia hori ni mwendo wa kale wa mto Susquehanna uliochimbwa miaka 15,000 iliyopita wakati wa [[enzi ya barafu]] ambako uwiano wa bahari ulikuwa mita 100 chini ya uwiano wa leo. Baada ya kupanda kwa uso wa bahari maji yake yalijaa bonde la mto na kulifanya kuwa hori la Atlantiki.
 
Sehemu nyembamba ya hori iko karibu na mji wa [[Annapolis, (Maryland)]] penye daraja la Bay Bridge. Karibu na mdomo kuna handaki chini ya ardhi na chini ya bahari inayounganisha barabara pande zote mbili.
 
[[Image:Chesapeake Bay Bridge.jpg|thumb|225px|Bay Bridge]]