George Lucas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mbegu-igiza-filamu-USA
d roboti Nyongeza: vi:George Lucas; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:George_Lucas.jpg|thumb|right|400px|George Lucas.]]
'''George Walton Lucas, Jr.''' (amezaliwa tar. [[14 Mei]], [[1944]] mjini [[California|Modesto, California]]) ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandikaji wa script wa filamu wa [[Marekani|Kimarekani]]. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kutayarisha mfululizo wa filamu za Star Wars na mfululizo wa filamu za Indiana Jones.
 
Lucas pia aliongoza filamu za THX 1138 (1970) na American Graffiti (1973). Akiwa pamoja na rafiki yake wa karibu Bw. [[Steven Spielberg]], walifanikisha kutengenezwa kwa mfululizo wa filamu za Indiana Jones. Lucas vilevile ni mtaalam wa kuweka vionjo mbalimbali vya kizushi, yaani, sayansi fiksheni, na pia ameanzisha kampuni yake inayoandaa mambo mengi yahusianayo na filamu na kadharika.
== Viungo vya nje ==
* {{imdb name|id=0000184|name=George Lucas}}
* [http://www.nndb.com/people/539/000022473/ George Lucas] katika the Notable Names Database
Mstari 17:
 
{{DEFAULTSORT:Lucas, George}}
 
[[Category:Waongozaji Filamu wa Marekani]]
[[CategoryJamii:WatayarishajiWaongozaji Filamu wa Marekani]]
[[CategoryJamii:WaongozajiWatayarishaji Filamu wa Marekani]]
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1944]]
[[CategoryJamii:Watu Walio Hai]]
 
[[an:George Lucas]]
Line 83 ⟶ 84:
[[tr:George Lucas]]
[[uk:Лукас Джордж]]
[[vi:George Lucas]]
[[vo:George Lucas]]
[[wuu:乔奇 卢卡斯]]