Samsun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Samsun''' ni jina la mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika pwani ya Bahari Nyeusi, ukiwa na idadi ya wakazi takriban 7...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:26, 23 Juni 2009

Samsun ni jina la mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika pwani ya Bahari Nyeusi, ukiwa na idadi ya wakazi takriban 725,111 kama jinsi ilivyohesabiwa katika mwaka wa 2007. Huu ni mji mkuu wa jimbo la Jimbo la Samsun na ni bandari muhimu kabisa mjini hapa.

Mji huu wa Samsun ulianzishwa na wakoloni kama Amisos (tahajia zingine ni Amisus, Eis Amison - maana ya amisos imechukua jina la Samsunta au Samsus (Eis Amison - Samson - Samsounta).[1]

Marejeo

  1. Özhan Öztürk. Karadeniz: Ansiklopedik Sözlük (Blacksea: Encyclopedic Dictionary). 2 Cilt (2 Volumes). Heyamola Publishing. Istanbul.2005 ISBN 975-6121-00-9

Viungo vya Nje

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: