Tofauti kati ya marekesbisho "Alfred Fried"

20 bytes removed ,  miaka 14 iliyopita
d
no edit summary
d
d
'''Alfred Hermann Fried''' ([[11 Novemba]], [[1864]] – [[5 Mei]], [[1921]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Austria]]. Alianzisha makampuni na majarida mengi kwa ajili ya amani. Mwaka wa [[1911]], pamoja na [[Tobias Asser]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
 
[[Category:Waandishi wa Austria|F]]
[[Category:Watu wa Austria|F]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani|F]]
 
62,394

edits