Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Redirecting to KAST
 
No edit summary
Mstari 1:
'''KAST''' ni kifupi chake cha "'''Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia'''" iliyoandaliwa na wataalamu wa [[TUKI]] na Chuo Kikuu cha [[Dar es Salaam]] mwaka 1995.
#REDIRECT [[KAST]]
 
Kamusi hii inakusanya maneno ya kisayansi na ya kiteknolojia kwa utaratibu ufuatao:
 
*neno la [[Kiswahili]]
*maana yake kwa [[Kiingereza]] katika mabano
*maelezo yake kwa Kiswahili
 
Mwishowe kuna faharasa ya Kiingereza inayoweza kutumiwa kama kamusi ndogo ya Kiingereza-Kiswahili ya maneno ya kisayansi.
 
Kati ya [[kamusi za Kiswahili]] hii ni hatua kubwa mbele katika ukuzaji wa Kiswahili hata ikionyesha bado mapengo na kasoro mbalimbali.
 
 
==Marejeo==
* Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia (KAST). Dar es Salaam, Tanzania: Ben & Co. Ltd., 1995.
 
[[Category:Kamusi za Kiswahili]]