Vladimir Nabokov : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-mwandishi
d roboti Nyongeza: war:Vladimir Nabokov; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Monument Nabokov Montreux 23.12.2006.jpg|thumb|250px|Sanamu ya Nabokov mjini Montreux]]
'''Vladimir Nabokov''' ([[Kirusi]] '''Владимир Владимирович Набоков''' ''vladimir vladimirowich nabokov''; [[10 Aprili]] [[1899]] - [[2 Julai]] [[1977]]) alikuwa mwandishi kutoka nchini [[Urusi]] aliyekuwa baadaye raia wa [[Marekani]].
 
Alizaliwa katika familia ya kikabaila akapata elimu nzuri akaaanza kutunga mashairi akiwa na umri mdogo na kutoa kitabu chake cha kwanza mwaka 1916.
 
== Uhamisho wa Ulaya ==
Baada ya [[Mapinduzi ya Urusi ya 1917]] familia ilikimbia na kuhamia Ulaya ya Kati na Magharibi. Vladimir alianza kusoma sayansi na fasihi kwenye [[chuo kikuu cha Cambridge]] ([[Uingereza]]). 1922 baada ya kifo cha baba alijiunga na familia iliyokuwa na nyumba mpya huko [[Berlin]] (Ujerumani). Hapa Vladimir alifanya kazi kama mwalimu wa nyumbani akaendelea kuandika na kutoa riwaya zake za kwanza. 1925 alimwoa Mrusi mwenzake Vera Jevseyevna Slonim akaendelea kuandika. Riwaya 9 alitoa wakati alipoishi Ujerumani.
 
Tangu 1933 hali ya familia ilikuwa vigumu baada ya [[chama cha Nazi]] kuchukua serikali ya Berlin kwa sababu mke wake Vera alikuwa Myahudi. 1934 mtoto wa pekee Dimitri alizaliwa. 1936 waliondoka Ujerumani wakakaa [[Ucheki]] na baadaye [[Ufaransa]]. Vladimir alianza kuandika kwa Kiingereza.
 
== Marekani ==
Mwaka 1940 wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] familia ilikimbia wakafaulu kupata nafasi kwenye meli kwenda Marekani iliyoondoka Ufaransa wakati jeshi la Ujerumani limeshaanza kuvamia nchi. Vladimir alipata kazi kama bingwa wa vipepeo kwenye American Museum of Natural History mjini [[New York]] kwa muda kidogo lakini aliendelea kuwa mwalimu wa fasihi kwenye vyuo mbalimbali na tangu 1948 profesa wa fasihi kwenye chuo kikuu cha Cornell. Tangu 1945 alikuwa raia wa Marekani.
 
Mstari 17:
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.mochola.org/nabokov/index.htm Nabokov Library]
 
[[Category:Waandishi wa Urusi|Nabokov, Vladimir]]
[[Category:Waandishi wa Marekani|Nabokov, Vladimir]]
 
{{mbegu-mwandishi}}
{{BD|1899|1977|Nabokov, Vladimir}}
 
[[CategoryJamii:Waandishi wa Urusi|Nabokov, Vladimir]]
[[CategoryJamii:Waandishi wa Marekani|Nabokov, Vladimir]]
 
[[an:Vladimir Nabokov]]
Line 85 ⟶ 84:
[[vi:Vladimir Vladimirovich Nabokov]]
[[vo:Vladimir Nabokov]]
[[war:Vladimir Nabokov]]
[[zh:弗拉基米爾·納博可夫]]